TOFAUTI KATI YA FASIHI SIMULIZI NA ANDISHI

Tofauti kati ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi
FASIHI SIMULIZI
FASIHI ANDISHI
1.
Huwasilishwa kwa njia ya mdomo na/au matendo.
Huwasilishwa kwa njia ya maandishi
2.
Ni mali ya jamii.
Kazi andishi ni mali ya mwandishi (na mchapishaji)
3.
Msimulizi anaweza kubadilisha sehemu fulani
Kitabu kilichoandikwa hakiwezi kubadilishwa
4.
Huhifadhiwa akilini
Huhifadhiwa vitabuni
5.
Kazi simulizi hubadilika na wakati
Kazi andishi haibadiliki na wakati
6.
Huhitaji msimulizi na hadhira yake wawe mahali pamoja wakati wa masimulizi
Msomaji anaweza kusoma kitabu cha hadithi peke yake, mahali popote, wakati wowote
7.
Mtu yeyote anaweza kutunga na kusimulia
Ni lazima mwandishi na msomaji wawe na uwezo wa kusoma
8.
Hutumia wahusika changamano (wanyama, watu, mazimwi n.k)
Hutumia wahusika wanadamu.

Comments

  1. Not adequate it is insufficient we need like 15 differences

    ReplyDelete
  2. Ingine ni katika fasihi simulizi baadhi ya semi huzuka papo hapo ilhali fasihi andishi huhitaji muda kutunga

    ReplyDelete
  3. Pia fasihi simulizi inamfikia mtu yoyote ambazo fasihi andishi inalenga kwa anayejua musoma Na kuandika

    ReplyDelete
  4. Fasihi simulizi ni kongwe ilianza tangu binadamu alipoanza kushiriki ktk kazi lakini fasihi Andishi ilikuja baada ya maandishi kubuniwa

    ReplyDelete
  5. Please you should add more like 20

    ReplyDelete
  6. Hilo hoja la wahusika nimekataa...hadithi za khurafa huandikwa na wahusika wake ni wanyama

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  8. Ahsante kabisa lakini hoja hizo hazitoshi

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UMUHIMU WA FASIHI

MAANA YA FASIHI