TOFAUTI KATI YA FASIHI SIMULIZI NA ANDISHI
Tofauti kati ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi
FASIHI SIMULIZI
|
FASIHI ANDISHI
|
|
1.
|
Huwasilishwa kwa njia ya mdomo
na/au matendo.
|
Huwasilishwa kwa njia ya maandishi
|
2.
|
Ni mali ya jamii.
|
Kazi andishi ni mali ya mwandishi
(na mchapishaji)
|
3.
|
Msimulizi anaweza kubadilisha
sehemu fulani
|
Kitabu kilichoandikwa hakiwezi
kubadilishwa
|
4.
|
Huhifadhiwa akilini
|
Huhifadhiwa vitabuni
|
5.
|
Kazi simulizi hubadilika na wakati
|
Kazi andishi haibadiliki na wakati
|
6.
|
Huhitaji msimulizi na hadhira yake
wawe mahali pamoja wakati wa masimulizi
|
Msomaji anaweza kusoma kitabu cha
hadithi peke yake, mahali popote, wakati wowote
|
7.
|
Mtu yeyote anaweza kutunga na
kusimulia
|
Ni lazima mwandishi na msomaji
wawe na uwezo wa kusoma
|
8.
|
Hutumia wahusika changamano
(wanyama, watu, mazimwi n.k)
|
Hutumia wahusika wanadamu.
|
Not adequate it is insufficient we need like 15 differences
ReplyDeleteMore differences
DeleteAdd more differences please
DeleteI expected 30
ReplyDeleteplease more are needed
ReplyDeleteTrue
DeleteI excepted more that
ReplyDeleteIngine ni katika fasihi simulizi baadhi ya semi huzuka papo hapo ilhali fasihi andishi huhitaji muda kutunga
ReplyDeleteThere should be more
ReplyDeleteAdd more please
ReplyDeletePia fasihi simulizi inamfikia mtu yoyote ambazo fasihi andishi inalenga kwa anayejua musoma Na kuandika
ReplyDeleteHiyo NI kweli
DeleteADD MORE!!!!
ReplyDeleteAdd more!
ReplyDeleteI expected 15
ReplyDeleteFasihi simulizi ni kongwe ilianza tangu binadamu alipoanza kushiriki ktk kazi lakini fasihi Andishi ilikuja baada ya maandishi kubuniwa
ReplyDeletePlease you should add more like 20
ReplyDeleteAdd more
ReplyDeleteHaya jamani hayatoshi
ReplyDeleteMalele oyaaa
ReplyDeleteEish
ReplyDeleteHilo hoja la wahusika nimekataa...hadithi za khurafa huandikwa na wahusika wake ni wanyama
ReplyDeletepia mimi nakuunga mkono
DeleteMarejeleo yake tafadhali
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletekazi nzuri
ReplyDeleteNice work
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteAhsante kabisa lakini hoja hizo hazitoshi
ReplyDeleteThank you nice work
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletewhy pleas explain
ReplyDelete